1 Petro 3:18 BHN

18 Kwa maana Kristo mwenyewe alikufa kwa ajili ya dhambi zenu; alikufa mara moja tu na ikatosha, mtu mwema kwa ajili ya waovu, ili awapeleke nyinyi kwa Mungu. Aliuawa kimwili lakini akafanywa hai kiroho;

Kusoma sura kamili 1 Petro 3

Mtazamo 1 Petro 3:18 katika mazingira