Luka 13:15 BHN

15 Hapo Bwana akamjibu, “Enyi wanafiki! Nani kati yenu hangemfungua ng'ombe wake au punda wake kutoka zizini ampeleke kunywa maji, hata kama siku hiyo ni ya Sabato?

Kusoma sura kamili Luka 13

Mtazamo Luka 13:15 katika mazingira