Luka 14:5 BHN

5 Halafu akawaambia, “Ni nani kati yenu ambaye mtoto wake au ng'ombe wake akitumbukia shimoni, hangemtoa hata kama ni siku ya Sabato?”

Kusoma sura kamili Luka 14

Mtazamo Luka 14:5 katika mazingira