Luka 17:29 BHN

29 Lakini siku ile Loti alipoondoka Sodoma, moto na madini ya kiberiti vikanyesha kama mvua kutoka mbinguni na kuwaangamiza wote.

Kusoma sura kamili Luka 17

Mtazamo Luka 17:29 katika mazingira