Luka 4:39 BHN

39 Yesu akaja akasimama karibu naye, akaikemea ile homa, nayo ikamwacha. Yule mama akainuka mara, akawatumikia.

Kusoma sura kamili Luka 4

Mtazamo Luka 4:39 katika mazingira