Luka 4:42 BHN

42 Kesho yake asubuhi, Yesu aliondoka akaenda mahali pa faragha. Watu wakawa wanamtafuta. Hao watu walipofika mahali alipokuwa, wakajaribu kumzuia ili asiondoke kwao.

Kusoma sura kamili Luka 4

Mtazamo Luka 4:42 katika mazingira