Mathayo 11:12 BHN

12 Tangu wakati wa Yohane Mbatizaji mpaka leo hii, ufalme wa mbinguni unashambuliwa vikali, na watu wakali wanajaribu kuunyakua kwa nguvu.

Kusoma sura kamili Mathayo 11

Mtazamo Mathayo 11:12 katika mazingira