Mathayo 5:11 BHN

11 “Heri yenu nyinyi watu wakiwatukana, wakiwadhulumu na kuwasingizia kila aina ya uovu kwa ajili yangu.

Kusoma sura kamili Mathayo 5

Mtazamo Mathayo 5:11 katika mazingira