Mathayo 7:4 BHN

4 Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako?

Kusoma sura kamili Mathayo 7

Mtazamo Mathayo 7:4 katika mazingira