Waefeso 6:18 BHN

18 Salini daima, mkiomba msaada wa Mungu. Salini kila wakati kwa nguvu ya Roho. Kesheni bila kuchoka mkisali kwa ajili ya watu wote wa Mungu.

Kusoma sura kamili Waefeso 6

Mtazamo Waefeso 6:18 katika mazingira