Waefeso 6:9 BHN

9 Nanyi mnaotumikiwa, watendeeni vivyo hivyo watumwa wenu, na acheni kutumia vitisho. Kumbukeni kwamba nyinyi pia kama vile wao, mnaye Bwana yuleyule mbinguni, naye hatendi kwa ubaguzi.

Kusoma sura kamili Waefeso 6

Mtazamo Waefeso 6:9 katika mazingira