Waroma 5:18 BHN

18 Basi, kama vile kosa la mtu mmoja lilivyoleta hukumu kwa binadamu wote, kadhalika kitendo kiadilifu cha mtu mmoja kinawapa wote uadilifu na uhai.

Kusoma sura kamili Waroma 5

Mtazamo Waroma 5:18 katika mazingira