Waroma 7:3 BHN

3 Hivyo mwanamke huyo akiishi na mwanamume mwingine wakati mumewe yungali hai, ataitwa mzinzi; lakini mumewe akifa, mwanamke huyo yu huru kisheria, na akiolewa na mwanamume mwingine, yeye si mzinzi.

Kusoma sura kamili Waroma 7

Mtazamo Waroma 7:3 katika mazingira