Yohane 1:42 BHN

42 Kisha akampeleka Simoni kwa Yesu. Naye Yesu akamtazama Simoni akasema, “Wewe ni Simoni mwana wa Yohane. Sasa utaitwa Kefa” (Kigiriki ni Petro, yaani, “Mwamba”).

Kusoma sura kamili Yohane 1

Mtazamo Yohane 1:42 katika mazingira