Yohane 19:5 BHN

5 Basi, Yesu akatoka nje amevaa taji ya miiba na joho la rangi ya zambarau. Pilato akawaambia, “Tazameni! Mtu mwenyewe ni huyo.”

Kusoma sura kamili Yohane 19

Mtazamo Yohane 19:5 katika mazingira