2 Mambo Ya Nyakati 18:12 BHN

12 Wakati huo, yule mjumbe aliyetumwa kwa Mikaya alimwambia, “Manabii wengine wote kwa pamoja wamemtabiria mfalme ushindi; tafadhali nawe pia ufanye kama wao, umtabirie mema.”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 18

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 18:12 katika mazingira