2 Mambo Ya Nyakati 23:11 BHN

11 Halafu wakamtoa nje mwana wa mfalme, wakamvika taji kichwani, na kumpa ule ushuhuda; wakamtawaza nao Yehoyada na wanawe wakampaka mafuta awe mfalme, kisha watu wakashangilia wakisema, “Aishi mfalme!”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 23

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 23:11 katika mazingira