2 Mambo Ya Nyakati 29:5 BHN

5 akawaambia, “Nisikieni enyi Walawi! Jitakaseni na itakaseni nyumba ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zenu. Toeni uchafu wote uliomo patakatifu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 29

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 29:5 katika mazingira