2 Samueli 11:12 BHN

12 Kisha, Daudi akamwambia Uria, “Basi, kaa hapa leo pia, na kesho nitakuacha urudi.” Hivyo Uria akabaki mjini Yerusalemu siku hiyo. Siku iliyofuata,

Kusoma sura kamili 2 Samueli 11

Mtazamo 2 Samueli 11:12 katika mazingira