2 Samueli 11:13 BHN

13 Daudi alimwalika Uria kula na kunywa huko kwake, akamfanya Uria alewe. Hata hivyo, usiku ule Uria hakwenda nyumbani kwake, ila alilala kwenye kochi lake pamoja na watumishi wa bwana wake.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 11

Mtazamo 2 Samueli 11:13 katika mazingira