2 Samueli 11:2 BHN

2 Siku moja, wakati wa jioni, Daudi aliamka kitandani akaenda kwenye paa ya ikulu. Alipokuwa anatembea huko juu, alimwona mwanamke mmoja akioga na mwanamke huyo alikuwa mzuri sana.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 11

Mtazamo 2 Samueli 11:2 katika mazingira