2 Samueli 11:6 BHN

6 Basi, Daudi akamtumia Yoabu ujumbe, “Mtume Uria, Mhiti kwangu.” Naye Yoabu akamtuma Uria kwa Daudi.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 11

Mtazamo 2 Samueli 11:6 katika mazingira