2 Samueli 11:8 BHN

8 Halafu Daudi alimwambia Uria, “Rudi nyumbani kwako ukanawe miguu yako.” Uria alitoka nyumbani kwa mfalme, na mara mfalme akampelekea zawadi.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 11

Mtazamo 2 Samueli 11:8 katika mazingira