2 Wafalme 9:11 BHN

11 Yehu aliporudi kwa wenzake, mmoja wao alimwuliza, “Kuna shida yoyote? Mwendawazimu huyu alitaka nini kwako?” Yehu akawajibu, “Mnajua alichotaka.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 9

Mtazamo 2 Wafalme 9:11 katika mazingira