2 Wafalme 9:19 BHN

19 Ndipo mjumbe wa pili akatumwa, ambaye pia alimwuliza Yehu swali hilohilo. Yehu akamwambia vivyo hivyo, “Kwa nini unauliza kuhusu amani? Wewe geuka ufuatane nami!”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 9

Mtazamo 2 Wafalme 9:19 katika mazingira