Amosi 9:13 BHN

13 “Wakati waja kwa hakika,ambapo mara baada ya kulimamavuno yatakuwa tayari kuvunwa;mara baada ya kupanda mizabibuutafuata wakati wa kuvuna zabibu.Milima itabubujika divai mpya,navyo vilima vitatiririka divai.

Kusoma sura kamili Amosi 9

Mtazamo Amosi 9:13 katika mazingira