Hesabu 15:31 BHN

31 Maana amekataa yale aliyosema Mwenyezi-Mungu na kuvunja mojawapo ya amri zake. Mtu huyo atakatiliwa mbali kabisa; na lawama ya kifo chake itakuwa juu yake mwenyewe.”

Kusoma sura kamili Hesabu 15

Mtazamo Hesabu 15:31 katika mazingira