Hesabu 23:14 BHN

14 Basi, Balaki akamchukua Balaamu kwenye shamba la Sofimu, juu ya kilele cha Mlima Pisga. Hapo akajenga madhabahu saba na kutoa juu ya kila madhabahu kafara ya fahali mmoja na kondoo dume mmoja.

Kusoma sura kamili Hesabu 23

Mtazamo Hesabu 23:14 katika mazingira