Hesabu 23:15 BHN

15 Balaamu akamwambia Balaki, “Baki hapa karibu na sadaka yako ya kuteketezwa, nami niende kule ngambo kukutana na Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili Hesabu 23

Mtazamo Hesabu 23:15 katika mazingira