Hesabu 28:9 BHN

9 “Siku ya Sabato, mtatoa sadaka ya wanakondoo wawili wa kiume wa mwaka mmoja wasio na dosari, sadaka ya nafaka ya kilo mbili za unga laini uliochanganywa na mafuta, na sadaka yake ya kinywaji.

Kusoma sura kamili Hesabu 28

Mtazamo Hesabu 28:9 katika mazingira