Hesabu 35:12 BHN

12 Miji hiyo itakuwa mahali pa kukimbilia usalama ili huyo mwuaji asiuawe na mwenye kulipiza kisasi kabla ya kuhukumiwa na jumuiya.

Kusoma sura kamili Hesabu 35

Mtazamo Hesabu 35:12 katika mazingira