Isaya 22:25 BHN

25 Lakini siku moja, kama vile kile kigingi kilichofungwa mahali salama kitalegea kwa uzito, Eliakimu naye atapoteza madaraka yake na jamaa zake wote watabaki bila msaada. Mimi Mwenyezi-Mungu nimenena.”

Kusoma sura kamili Isaya 22

Mtazamo Isaya 22:25 katika mazingira