Kutoka 28:11 BHN

11 Utayachora majina hayo juu ya hayo mawe kama vile sonara achoravyo mhuri, kisha uyatie nakshi na kuyaingiza katika vijalizo vya dhahabu.

Kusoma sura kamili Kutoka 28

Mtazamo Kutoka 28:11 katika mazingira