Kutoka 4:31 BHN

31 Watu wakaamini. Na waliposikia kwamba Mwenyezi-Mungu amewajia kuwasaidia Waisraeli, na kwamba ameyaona mateso yao, wote wakainamisha vichwa vyao na kumwabudu.

Kusoma sura kamili Kutoka 4

Mtazamo Kutoka 4:31 katika mazingira