Mhubiri 10:3 BHN

3 Hata apitapo njiani, mpumbavu hutambulikana hivyo,humjulisha kila mtu kwamba yeye ni mpumbavu.

Kusoma sura kamili Mhubiri 10

Mtazamo Mhubiri 10:3 katika mazingira