Mhubiri 8:9 BHN

9 Haya yote nimeyaona katika uchunguzi wangu juu ya yote yanayotendwa hapa duniani, binadamu anapokuwa na uwezo wa kumkandamiza na kumdhuru binadamu mwenzake.

Kusoma sura kamili Mhubiri 8

Mtazamo Mhubiri 8:9 katika mazingira