Mwanzo 42:15 BHN

15 Hivi ndivyo mtakavyojaribiwa: Naapa kwa jina la Farao, kwamba hamtatoka hapa mpaka mdogo wenu atakapokuja.

Kusoma sura kamili Mwanzo 42

Mtazamo Mwanzo 42:15 katika mazingira