Mwanzo 42:35 BHN

35 Walipokuwa wanamimina nafaka kutoka magunia yao, walishangaa kuona kila mmoja wao amerudishiwa kifuko chake na fedha ndani ya gunia lake. Walipoona hayo, wote pamoja na baba yao, wakashikwa na hofu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 42

Mtazamo Mwanzo 42:35 katika mazingira