Mwanzo 46:4 BHN

4 Mimi mwenyewe nitakwenda pamoja nawe huko Misri na kukurudisha huku. Utakapofariki, mkono wa Yosefu ndio utakaoyafumba macho yako.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 46

Mtazamo Mwanzo 46:4 katika mazingira