Mwanzo 46:5 BHN

5 Basi, Yakobo akaondoka Beer-sheba. Wanawe wakamchukua yeye, watoto wao wachanga pamoja na wake zao katika magari ambayo Farao alipeleka kumchukua.

Kusoma sura kamili Mwanzo 46

Mtazamo Mwanzo 46:5 katika mazingira