2 Basi, wakaenda mpaka Betheli wakakaa huko mbele ya Mungu hadi jioni. Wakapaza sauti na kulia kwa uchungu mwingi.
Kusoma sura kamili Waamuzi 21
Mtazamo Waamuzi 21:2 katika mazingira