Waamuzi 8:26 BHN

26 Uzito wa vipuli vyote alivyowataka wampe ulikuwa kilo ishirini. Zaidi ya hivyo, alipokea pia herini, mavazi ya urujuani yaliyovaliwa na wafalme wa Midiani na mikufu iliyokuwa kwenye shingo za ngamia wao.

Kusoma sura kamili Waamuzi 8

Mtazamo Waamuzi 8:26 katika mazingira