Yoshua 14:4 BHN

4 Wazawa wa Yosefu walikuwa makabila mawili: Manase na Efraimu. Kabila la Lawi halikupewa sehemu yoyote ya nchi, ila miji tu ya kuishi na sehemu za malisho kwa ajili ya wanyama wao na riziki zao.

Kusoma sura kamili Yoshua 14

Mtazamo Yoshua 14:4 katika mazingira