Yoshua 18:28 BHN

28 Zela, Ha-elefu, Yebusi, yaani Yerusalemu, Gibea na Kiriath-yearimu. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na minne pamoja na vijiji vyake. Hiyo yote ni sehemu waliyopewa watu wa kabila la Benyamini na koo zao.

Kusoma sura kamili Yoshua 18

Mtazamo Yoshua 18:28 katika mazingira