Yoshua 24:11 BHN

11 Halafu mkavuka mto Yordani, mkafika Yeriko. Wakazi wa Yeriko walipigana nanyi, hali kadhalika na Waamori, Waperizi, Wakanaani, Wahiti, Wagirgashi, Wahivi na Wayebusi. Hao mimi nikawatia mikononi mwenu.

Kusoma sura kamili Yoshua 24

Mtazamo Yoshua 24:11 katika mazingira