Yoshua 24:19 BHN

19 Lakini Yoshua akawaambia, “Nyinyi hamwezi kumtumikia Mwenyezi-Mungu, maana yeye ni Mungu Mtakatifu. Yeye ni Mungu mwenye wivu, naye hatawasamehe makosa na dhambi zenu.

Kusoma sura kamili Yoshua 24

Mtazamo Yoshua 24:19 katika mazingira