Yoshua 8:2 BHN

2 Mtautendea mji wa Ai pamoja na mfalme wake kama vile mlivyoutendea mji wa Yeriko pamoja na mfalme wake. Mali zake pamoja na mifugo yake mtakayoteka itakuwa ni mali yenu. Nendeni mwuvamie mji kutoka upande wa nyuma.”

Kusoma sura kamili Yoshua 8

Mtazamo Yoshua 8:2 katika mazingira