Yoshua 8:3 BHN

3 Basi, Yoshua akaondoka, pamoja na wanajeshi wake wote kwenda Ai. Akawachagua watu hodari 30,000 na kuwaambia watangulie wakati wa usiku.

Kusoma sura kamili Yoshua 8

Mtazamo Yoshua 8:3 katika mazingira