Zaburi 5:10 BHN

10 Uwaadhibu kwa hatia yao ee Mungu;waanguke kwa njama zao wenyewe;wafukuze nje kwa sababu ya dhambi zao nyingi,kwa sababu wamekuasi wewe.

Kusoma sura kamili Zaburi 5

Mtazamo Zaburi 5:10 katika mazingira