1 Kor. 3:19 SUV

19 Maana hekima ya dunia hii ni upuzi mbele za Mungu. Kwa maana imeandikwa, Yeye ndiye awanasaye wenye hekima katika hila yao.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 3

Mtazamo 1 Kor. 3:19 katika mazingira